Tuesday, 30 June 2015
Monday, 29 June 2015
Saturday, 27 June 2015
AMMY CHIBA AMESEMA RASMI KUWA KWA SASA HATOFANYA TENA MZIKI

Msanii wa kike anaefanya pouwa na ngoma zake kama maradhi ya moyo ft zax b,subira ya moyo na tunda langu ft barnaba AMINA CHIBABA a.k.a ammy chiba amefunguka na kusema
Friday, 26 June 2015
Thursday, 25 June 2015
Bosi wa mtandao wa Tidal wa Jay Z ajiuzulu
Peter Tonstad, bosi wa mtandao wa kustream muziki wa Jay Z, Tidal ameacha kazi kwenye kampuni hiyo baada ya kuifanyia kazi kwa miezi mitatu tu.
Connection na serious management ndio vinanichelewesha kuwa msanii wa kimataifa
Ni miaka saba imepita toka msanii wa R-n-B kutoka Morogoro, Belle 9 aanze kufanya vizuri kupitia hit song yake ya ‘Sumu ya Penzi’, lakini hadi leo 2015 bado anatambulika kama msanii wa ndani (local) sababu hajauepeleka muziki wake nje ya mipaka ya Tanzania.
Joh Makini kushoot video nyingine Afrika Kusini, ni ya collabo yake na rapper AKA
Baada ya Joh Makini kuonja asali sasa ana mpango wa kuchonga mzinga kabisa. Baada ya kupata matokeo chanya kutokana na video ya ‘Nusu Nusu’, rapper huyo wa Weusi anatarajia kwenda Afrika Kusini kufanya video nyingine.

Joh Makini akiwa na AKA
Joh Makini akiwa na AKA
Thursday, 18 June 2015
Diamond afanya collabo nyingine na msanii wa Afrika Kusini, Donald. Wairekodia Universal Studios
Diamond Platnumz ameendelea kuwa ‘hot cake’ machoni kwa wasanii wa Afrika, ambao wameendelea kumualika kubariki kazi zao kwa kumshirikisha kwenye nyimbo zao.

Diamond na Donald
Diamond na Donald
Sunday, 14 June 2015
Friday, 12 June 2015
Thursday, 11 June 2015
Diamond na Vanessa watajwa kuwania tuzo za MTV MAMA 2015, Diamond anawania vipengele vitatu
Diamond Platnumz na Vanessa Mdee a.k.a Vee Money ndio wasanii wa Tanzania waliotajwa kuwania tuzo kubwa Afrika za MTV Africa Music Awards KwaZulu-Natal 2015 (MAMA).





































