Wednesday, 30 September 2015
Diamond aingia kwenye tuzo za Headies 2015 za Nigeria
Baada ya kutangazwa kuwania tuzo mbili za ‘The African Entertainment Legends Awards’ za Nigeria (ingia hapa), Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo nyingine tena za Headies za Naija pia.
Saturday, 26 September 2015
Friday, 25 September 2015
DK CHENI KUMUOA LULU MICHAEL
Tangu wakati ule msanii maarufu wa filamu, Mahsein Awadh ‘Dk. Cheni’ aamue kupambana kumsaidia Elizabeth Michael ‘Lulu’ kwenye kesi ya mauaji iliyokuwa inamkabali, yaliibuka madai kuwa wawili hao ni wapenzi lakini leo limeibuka la ndoa, Ijumaa lina kila kitu.
wimbo wa Roma – ‘Viva Roma Viva’BASATA waufungia rasmi
Baraza la sanaa Tanzania, BASATA wameufungia rasmi wimbo wa Roma Mkatoliki uitwao ‘Viva Roma Viva’.
Eddy Kenzo kukutana na Van Damme Marekani kama ndoto
Mwimbaji wa wa Uganda, Eddy Kenzo ambaye yuko kwenye ziara ya muziki nchini Marekani, amekutana na star wa movie Jean-Claude Van Damme.
Monday, 21 September 2015
COLLABO LA GARATONE NA ALLY KIBA TAYALI
Sunday, 20 September 2015
Friday, 18 September 2015
Wednesday, 16 September 2015
Wednesday, 9 September 2015
Rapa Aka atangaza collabo nyingine kubwa yaja so muda mrefu
Behind the scene, video mpya ya rapa K.O kutoka south afrika
Rapa K.O Kutoka Afrika kusini anategemewa kutoa video mpya ijumaa hii. K.OAnaye ng’ara na Caracara amekamilisha video ya wimbo wake ‘One Time’ na inatoka september 11.

Dj Khaled aifananisha album mpya ya August Alsina na Illmatic ya Nas.
Rnb staa August Alsina amekamilisha album yake mpya na tayari imepewa jina “This Thing Called Life“.
Kwa wasanii wa bongo Diamond afikisha followers milioni 1 kwenye Instagram
Diamond Platnumz amekuwa muimbaji wa kwanza kutoka Tanzania kuwa na followers milioni moja kwenye mtandao wa Instagram.
Barakah Da Prince apata shavu kenya la collabo
Barakah Da Prince anaendelea kupata ‘recognition’ Afrika Mashariki baada ya ngoma zake mbili ‘Siachani Nawe’ na ‘Nivumilie’ kukubalika.






































