Thursday, 26 November 2015

MATONYA:-VIDEO YA JELA ITAFANYIKA TANZANIA | SIKILIZA FULL INTERVIEW

Msanii mkongwe kwenye muziki wa Tanzania "Bongo Flavour" Matonya leo ameachia rasmi kazi yake mpya inaitwa "Jela"  

Wednesday, 25 November 2015

DJ NAS (IRINGA BOY) AELEZA SABABU ZA NYIMBO ZAKE KUWA NA MAJINA YA MAKABILA YA MIKOA YA KUSINI


Msanii wa Hip Hop Kutoka Mkoani Iringa Dj Nas a.k.a Iringa Boy ameachia Video ya Wimbo wake Mpya "Wakunyumba" aliyowashirikisha Chibow na Mr T ambaye ndiye producer wa hit single hiyo.

kionjo cha video mpya ya Kassim Mganga ‘Subira’

Kassim Mganga amekamilisha video ya wimbo wake ‘Subira’ aliomshirikisha Christian Bella, wimbo uliotoka mwanzoni mwa mwaka huu.

Monday, 16 November 2015

New Video: Avril x AY - No Stress

Muimbaji Avril kutoka Kenya alikuja Tanzania mwezi September kwa lengo la kufanya media tour, na kuungana na Ben Pol kuzindua wimbo mpya ‘Ningefanyeje’ waliofanya pamoja. Kingine alikuja kushoot video ya wimbo wake mpya ‘No Stress’ aliomshirikisha AY.

avril
Jumamosi iliyopita Avril alizindua video hiyo jijini Nairobi ambapo ilioneshwa kwa mara ya kwanza kabla ya kuwekwa kwenye mtandao wa Youtube. 

Sunday, 15 November 2015

DIAMOND PLATNUMZ AENDELEA KUNG'ARA KWENYE TUZO AFRIKA | TAZAMA ORODHA YA WASHINDI WA TUZO ZA AFRIMA 2015

It was a phenomenal night for all music lovers across Africa as the International Committee of All Africa Music Awards, AFRIMA, in partnership with African Union Commission, AUC, held the 2015 edition of the All Africa Music Awards (AFRIMA) at Eko Hotel and Suites in Lagos, Nigeria.

sauti n diamond

Here is the list of last Night’s winners:

ARTIST OF THE YEAR
Diamond Platnumz


D’Banj, Femi Kuti & More Feature on Seyi Shay’s “Seyi or Shay” Album | View Tracklist


Seyi Shay‘s debut album “Seyi or Shay” the album official tracklist has been made available. 

Check on it below!


PICHA:-MSANII JUX AINGIZA SOKONI NGUO ZENYE BRAND YAKE '‘AFRICAN BOY'’

Pamoja na kuonesha kitita cha $50,000 ambazo ni takriban shilingi milioni 100 kwenye Instagram hivi karibuni, Jux hapunguzi speed za kuchase papers.

1209720_1016120505112306_2017605717_n

Lollipop aeleza kwanini haimbi muziki wa Bongo fleva licha ya kuwaandikia hits wasanii wengine



Mwandishi wa nyimbo pamoja na mtayarishaji wa muziki Lollipop ametoa sababu za kwanini yeye anaimba muziki wa gospel na si Bongo Fleva, licha ya kuwa ameshawaandikia hits wasanii wengine wanaofanya Bongo fleva.