Monday, 16 January 2017

Story:Dume Suruali ya Mwana FA yafikisha views milioni 2 YouTube

Dume Suruali ya Mwana FA huwenda ukawa ndiyo wimbo wa kwanza wa rapper huyo kufikisha views milioni 2 kupitia mtandao video wa YouTube kwa kipindi cha mwezi mmoja.

Thursday, 12 January 2017

News: Kelly Price kuimba wimbo wa taifa kwenye pambano la ndondi la Chris Brown na Soulja Boy

Pamoja na kuonekana kama kiki tu, habari za pambano la ngumi kati ya Chris Brown na Soulja Boy linaonekana kupewa uzito na kila siku habari mpya inajitokeza.

Story:Ben Pol ajibu tuhuma za kuiba idea ya wimbo wake Phone

Hit maker wa Moyo Mashine ambaye kwa sasa anafanya vizuri kupitia wimbo wake wa Phone, amemshauri Producer Sappy kufanya kazi kuliko kutengeneza maneno.