Ben Pol ataifanyia video ya wimbo wake ‘Sophia’ mjini Dodoma.
“Video ya wimbo wa Sophia nitaifanyia mkoani Dodoma kwakuwa uamuzi huo unatoka na ujumbe ambao uko kwenye wimbo huo ambao unahitaji mazingira ya uhalisia zaidi yanayopatikana mkoani humo,” alisema. “Kila kitu kipo sawa ila bado sijajua nitashoot na director gani.”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment