Bibi yake Bobbi, Cissy Houston ndiye aliyetoa wazo hilo la kumtolea mashine hiyo Feb 11 kufuatia mjadala na familia ya Bobby Brown kwenye hospitali ya Emory University jijini Atlanta. Whitney alifariki Feb 11 mwaka 2012 akiwa bafuni kwenye hoteli ya Beverly Hilton. Bobbi Kristina, 21, ambaye ni mtoto pekee wa Houston na Bobby Brown amekuwa kwenye coma tangu akutwe akiwa hajitambui bafuni Jan 31.
Post a Comment