0
Chibwa na Tanah wapata mtoto wa kiume juzi.

Chibwa kasema ni baraka tele kwao kwa kutimiza ndoto yao ya pili baada ya mziki.
Chibwa alisema hayo kupitia kituo cha redio cha sweet fm kilichopo jijini mbeya katika kipindi cha swags town 907,Pia chibwa ameachia video ya wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la mabawa.

Post a Comment

 
Top