0
Baada ya mkali Tyga kufunguka kwamba hatoki na mwandada mwenye mika 17 tu Kylie Jenner, inaweza
ikamaliza beef kati ya Amber Rose na Khloe Kaadshian inayoendelea kwenye twitter.

Akiwa katika Breakfast Club tarehe 17, redio hiyo hiyo ambayo Amber Rose aliitumia kumchana Kylie, ndiyo alitumia Tyga kufuta uvumi huo kwamba anamgonga Kylie Jenner “Hapana sitoki na Tyga, nataka kuweka sawa hili kwa kila mtu, sikuacha familia yangu ili niwe na Kylie, huo ni ujinga” alisema Tyga.

Tyga anasema bado hajapelekewa ishu yeyote ya kisheria kuhusu kosa lolote alilofanya akaongeza ingawa anakuwa na Kylie pia Kendalll anakuwepo, ingawa ameonekana mara kadhaa wakiwa peke yao sehemu fulani fulani. 


Kylie Jenner ana umri wa miaka 17 ni kesi na atakwenda jela kama ni kweli atakuwa anatoka na mtoto huyo.

Tyga pia aliongelea kuhusu ugomvi wake na Drake, akaongelea kuhusu vita kati ya Lil Wayne na Birdman, amesema hakupata hata dola 1 kutoka Cash Money.

Beef inazidi kujaza bucha, Tyga ni moja ya aliyekuwa memba wa Cash Money lakini ametoka na anatuhumu lebo hiyo kwa kumuweka nyuma na kufanya kazi za wengine nay eye anakuwa pending tu, mshikaji akaamua asepe akacheck mambo mengine.

Post a Comment

 
Top