0

Demu wa Kenya Anayejulikana kama TIARA ambae alishindwa kuficha hisia zake na kumtumia Video na

Picha za mitego Diamond kwa Kupitia StarsTz Ametuhabarisha kuwa baada ya Video na picha zake kusambaa alitafutwa na Diamond Platnumz na kuanza kuchat nae na kutumiana picha mbali mbali na alifikia mahala akasema anamtumia Ticket za kuja Dar wafanye yao pamoja na Collabo ya Mziki 

.Lakini mpaka leo Tickets hazijatumwa....Sasa baada ya tickets kutokutumwa na Diamond kukaa kimya ilibidi aanza kufanya uchunguzi kuhusu huyo Diamond na Mwisho kugundua anachat na Diamond Fake...anatumia jina la Diamond..kwenye facebook anajiita : Diamond Wasafi Platnumzz



Hizo Hapo Juu ni Baadhi ya Messeji walizokuwa wanachat kabla ya kugundua sio Diamond wa Ukweli .....

TIARA amesema Bado Hajakata Tamaa na Anasema Diamond Kama Anasoma habari hii Soon atakuja Tanzania yeye mwenyewe kukutafuta Face to Face mpaka kieleweke....

Katika Hatua nyingine TIARA amesema Mwezi ujao ataachia Single yake mpya itakayoitwa Kuparty.....

Post a Comment

 
Top