0
Msanii wa Kenya, Esther Akoth maarufu kama Akothee ataungana na wasanii wa Nigeria, KCEE na kundi la Bracket kutumbuiza jijini Zurich, Switzerland mwezi ujao.

AKOTHEE: MSANII WA KENYA ALIYEPITIA UDEREVA MA3/TAXI HADI KUMILIKI KAMPUNI YA TOUR NA NYUMBA ZA KUPANGA (VIDEO)


Hivi karibuni Akothee alimake
headlines baada ya kutumia kiasi kikubwa cha fedha kusherehekea Valentine’s Day.

Muimbaji na mfanyabiashara huyo wa Mombasa alikodi gari ndefu ya Limousine kwa masaa matano ambapo kila saa alilipa shilingi 40,000 za Kenya.

Post a Comment

 
Top