0
Msanii wa mziki wa kizazi kipya alimaharufu kwa jina la zax b apata ajali jana tarehe 27/2/2015 jijini mbeya maeneo ya mwanjelwa.

Zax B alisema alikuwa anatoka home akielekea redio rock fm kwa ajili ya interview ndipo gafla uso kwa uso na gari aina ya ice na katika harakati kukwepa ndipo wakajikuta wameanguka kwenye msingi na kupata majeraa katika mwili wake na kupelekwa hospital na amesema kwa sasa hali yake inaendelea vizuri anamshukuru mungu.

 

Zax B mwanamziki wa miondoko ya hip hop na hivi karibuni tu aliachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la talaka na yupo mbioni kuachia video ya wimbo huo hivi karibuni tu iliyoongozwa na direct kikunizo kutoka mashada inc.



ZAX B NDANI YA POZI TOFAUTI


Post a Comment

 
Top