Safari ya mwisho ya Mzee Ebby Sykes
Mazishi ya muimbaji mkongwe wa muziki nchini, Ebby Sykes ambaye ni baba mzazi wa Dully Sykes yamefanyika leo.
Hizi ni baadhi ya picha za ulipo msiba wake ambapo mwili wake ulisomewa kisomo. Mazishi yalifanyika kwenye makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam.
Post a Comment