Imetokea jioni ya leo ikihusisha lori.
Kuna ajali imetokea muda si mrefu maeneo ya Ngilori na tabu hotel katika wilaya ya Gairo kati ya fuso iliyokuwa imepakia watu waliotoka msibani na gari kubwa aina ya semi uso kwa uso.Idadi kamili ya watu waliopoteza maisha bado sijapata maana ni ajali mbaya sana.

Post a Comment