Wawili hawa wamekuwa wakiachana na kurudiana kutokana na sababu kibao,but hii iliyo tokea hivi karibuni ni mara baada ya habari za C breezy kusambaa kuwa ana mtoto wa miezi "9" kwa mwanamke mwingine kitu kilicho pelekea Karrueche kumtema Breezy. Breezy bado ana efforts za kurudiana na ex wake imeonekana katika page ya Karrueche aki-like post za Tran lakini Karrueche amekua akiandika Keep 'killing it kiddo'
Mmoja wa rafiki wa Chris breezy alisikika akisema "Breezy amesema hayupo tayari ku-date na mschana yoyote yule isipokuwa Karrueche"
Post a Comment