Wasanii wengine kutoka Afrika wanaowania Tuzo hizo ni pamoja na Davido ambaye ana nyimbo nne zilizoingia, Bebe Cool ana nyimbo mbili, P-Square wana nyimbo nne. Wengine ni 2Face, AKA, Cassper Nyovest, Iyanya. Tuzo hizi hufanyika kila mwaka na wasikilizaji wa Afro Radio ya Australia hupiga kura mtandanoni na msanii atakayepata kura nyingi ndiye anaibuka mshindi.
Ili kumpigia kura Diamond na kumfanya ashinde bonyeza hapa.
Post a Comment