Tukio hilo lilitokea weekend iliyopita kwenye tamasha la Coachella ambapo Madonna alimshtukiza Drizzy kwa denda hatari! Drake alionekana kama akifurukuta kuutoa mdomo wake kwenye himaya ya muimbaji huyo hali iliyowafanya wengi waamini kuwa hakuifurahia. Drake ana mtazamo tofauti.
“Don’t misinterpret my shock!! I got to make out with the queen Madonna and I feel about that forever. Thank you @madonna,” aliandika jana kwenye Instagram.
Post a Comment