0
Dully Sykes ataachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Shuka’ Jumatatu ijayo.
Wimbo huo umetayarishwa na yeye mwenyewe kwenye studio zake za 4.12. “Wimbo huu upo katika mahadhi ya kucheza zaidi na video tayari nimeshafanya, nimefanya kwa Adam Juma,” Dully ameiambia Bongo5.

“Nimejaribu kufanya vitu tofauti katika huo wimbo. Nimefanya Bongo Flava mwanzo lakini mwisho kuna kama sebene. Huo wimbo ni kwaajili ya watu wangu wa East Africa.”

 

Post a Comment

 
Top