Pambano hilo litapigwa kwenye ulingo wa MGM Grand jijini Las Vegas, Marekani, May 2 na linatarajiwa kuingiza dola milioni 400 ambapo Manny atalipwa dola milioni 100 na Mayweather takriban dola milioni 150! Kwa mujibu wa Telegraph, ni kati ya Kenny Bayless na Tony Weeks ndio anaweza kuwa mwamuzi.
Post a Comment