Kitabu hicho chenye kurasa 352 zenye picha zake za selfie zisizopungua 2,000 kilichopewa jina la ‘Selfish’, kimetoka kwa idadi maalum ya nakala 500 (limited edition copies) ambazo zilisainiwa na Kim K mwenyewe ambazo zimemalizika ndani ya dakika moja toka kilipoanza kuuzwa. Kupitia Twitter Kim Kardashian amewashukuru mashabiki wake kwa kuandika “Thanks to everyone who got a copy of Selfish on Gilt! Crazy it sold out in one minute!”
Nakala moja imeuzwa kwa $60 (sawa na shilingi 113,000) kila moja kupitia mtandao wa Gilt.com.
Post a Comment