Picha ya Msanii wa bongo fleva Nay Wa Mitego akimpa busu la mahaba imetawala mitandao ya kijamii ikiwemo instagram ambapo ndio ilianzia. Msanii Sheta aliandika kuwa ni filamu ya Shikorobo ila mashabiki wengi walionekana kutoa lawama juu ya ndio ya Shamsa Ford kuvunjwa na Nay Wa Mitego
Nae dangote hakuwa mbali kutupia picha ya mabusuu kem kem ya yeye na mkewe zari the bosi lady
Post a Comment