0
 
KANUMBA ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA NA ROSE NDAUKA
Kama wewe ni Mmoja wa Wapenzi wa Filamu za Nchini Tanzania na unafuatilia Vizuri basi utakubaliana na Rose Ndauka Kwamba

Baada ya Kufariki STEVEN KANUMBA
Rose Ndauka Ameongea na @DjHaazu na kusema Steven Kanumba aliipigania sana Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania Haswa kwa jitihada zake kukuza Wasanii wenzake ambapo kwa Moyo wake kwa kushirikiana na Wasanii wenzake Waliifikisha Sanaa ya Filamu Tanzania Hapo ilipo ila hadi sasa Hakuna Hatu Nyingine ambayo Wasanii wa Filamu Tanzania Wamepiga Zaidi ni Kuporomoka kwa Kiwanda cha Bongo Movie TZ.
Hata hivyo Rose am
baye yuko kwenye Tasnia ya Filamu Nchini Tanzania kuanzia Mwaka 2007 Amesema Wao Kama Wasanii kwa sasa wanatakiwa kushikamana na kufanya Mabadiliko ili Kuendeleza Kile alichokuwa anakifanya ambacho ilikuwa Kuhakikisha Sanaa ya Tanzania Inajulikana Kimataifa Zaidi.
Cha mwisho amewataka Watanzania na Wadau wao Kuendelea Kuwashika Mkono kwa kuwapa Support Japo pia ainawezekana kuna Wakati wamewadissapoint.

Post a Comment

 
Top