Show hiyo imepewa jina la Party In The Park – SA Invasion ambapo pamoja na wasanii hao, kundi la nchini Kenya, Sauti Sol nalo litakuwepo kutumbuiza. Wasanii wengine ni pamoja na Black Motion, Zaki Ibrahim Beatenberg Xoli na Michael Djvoodoosa Darcio.
Post a Comment