Akiwa amevaa joho jeusi na kofia, rapper huyo anayetokea Chicago, alipokea heshima hiyo kwa kuanza na kutoa chupa za maji zilizokuwa kwenye podium. Mke wake Kim Kardashian hakuacha kumpongeza mumewe kwenye Instagram: Dr. Kanye West!!!!!!! I’m so proud of you baby & I know your mom would be so proud too!!!!”
Post a Comment