Kupitia Instagram, Cheni ameandika: Wife naye ameiruhusu movie itoke nimemwelewesha kuwa sijaolewa kweli nimeolewa kimovie tu amekubali itoke dah ndoa hizi.” Baada ya kuwa imekataliwa na bodi ya filamu, ‘Nimekubali Kuolewa’ imeingia sokoni rasmi Jumatano huku ikitarajiwa kuuzika zaidi kutokana na utata wa filamu hiyo.
Post a Comment