0
 
Official Dj wa show Nzima ya Usiku wa Christmass na Mr Blue Wakuitwa Dj Speed a.k.a Search Badboy.





















 

Dj Speed katika pozi la Dj kibini.
 

Petronia akiwa na fans waake kabla ya kupanda stejini.
Mtangazaji wa Kujitegemea Subira Mwambigija akiwa na berdon.

 

Mtangazaji wa dream fm akiflow kwa mic.
 

Warembo amabao mwakani Watashiriki Miss mbeya mwakani mwezi wa pili.



 

Msanii wa hip hop Em1 akifanya yake kwa stage.
 

Petronia


 

Mashabiki wakipiga picha.
 

Msanii wa kike anae kuja kwa kasi jijini mbeya Petronia akiimba kwa umakini mkubwa.
 

Berdon Mnyama.
 

Msanii toka mbeya mkali wa songi la Jionee akipiga show na wacheza show wqake.
 

Mashabiki wakichukua kumbukumbu ya picha kwa zax 4real.

 

Zax 4Real.
Mkali wa RnB zax 4real akiwarusha shabiki zake baada ya kupanda stejini.
 

Producer Zest Mkali akipiga story na dany toka dream fm.

 

Msanii toka jijini mbeya Mtafya akipiga show.
 

Mashabiki wakisubilia blue apande kwa stage.

 



 

Watu wakionyesha furaha yao baada ya blue kupanda kwa stage.
 

Mr Blue akifanya makamuzi ndani ya viwanja vya Paradise Inn Hotel.

 
Baadhi ya watangazaji wa Dream Fm wakiwa katika pozi
 

Dj Speed katika pozi

Post a Comment

 
Top