Baada ya kudaiwa kuwa pambano hilo litafanyika Dubai, muimbaji mahiri, Kelly Price ametajwa kuimba wimbo wa taifa kabla ya pambano hilo. Taarifa hizo zimetolewa na 50 Cent aliyeandika kwenye Instagram, “@mskellyprice is set to sing the National anthem at the fight Chris vs. Soulja. #thefightstillon. Naye Kelly alithibitisha kwa kuandika: Looking forward to singing the national anthem on fight night with @souljaboy and @chrisbrownofficial Thank you @50cent for trusting me with this!
Post a Comment