0

Msanii na producer wa muziki Akon ambaye anamiliki lebo ya muziki ya #Konvict amemtangaza rasmi mtayarishaji wa video za wasanii wa lebo hio Afrika kuwa ni Patrick Elis na atakuwa Official Music Video Director For Konvict Africa.
Mtayarishaji huyu wa video anatoka nchini Nigeria Patrick Elis na ameshinda tuzo kadha kutokana na kazi zake.
Patrick Elis amefanya kazi na mastaa wakubwa Nigeria na ametangaza rasmi kuwa muongozaji wa video za wasanii wa Konvict Africa.

Post a Comment

 
Top