Thursday, 22 January 2015

Baba wa Geez Mabovu Studio kwa Lamar


Baba wa marehemu geez mabovu mzee ally amemtembelea
producer lamar kwenye studio yake jijini dar-es-salaam na kuzungumza nae kuhusu kazi zilizoachwa na mwanae katika mikono ya producer huyo.
Mmiliki wa studio ya fish club lamar ameongea na makorokocho.co kuwa geez mabovu aliacha ngoma saba nazo zitatoka kwa njia ya album itakayo uzwa
Lamar: nina mpango wa kuachia wimbo mmoja kutoka kwenye album hiyo.nyimbo zilivyo kamilika ni saba

Najaribu kuangalia jinsi ya kuitoa album ambayo tutaweza kuiweka mkito hili watu wanunue.

No comments:

Post a Comment