Wednesday, 21 January 2015

KIVUMBI SOON KITAAN KWAKO...

Soon hii move itakuwa mtaan kwako kaa mkao wa
kula kama si kushuudia kilichomo ndani hii movie iliochezwa na mastaa wengi baadhi yao ni SLIM OMARY,DAUDI MICHAEL na bi dada EVA KIMARO hii si ya kukosa mtu wangu

No comments:

Post a Comment