Friday, 23 January 2015

Miss Universe wawakilishi wetu Afrika ni hawa kumi kwenye vazi la usiku.




 


1. Miss Tanzania


2. Miss Kenya


3. Miss Nigeria


4. Miss Mauritius


5. Miss South Afrika


6. Miss Ghana


7. Miss Ethiopia


8. Miss Gabon


9. Miss Angola


10. Miss Egypt


Tumebakiza muda mfupi tushuhudie shindano la Miss Universe litafanyika kesho kutwa Jumapili mji wa Miami, Florida Marekani na kati ya washiriki hao, kumi wanawakilisha Afrika. 

No comments:

Post a Comment