TEAM KAZI ENTERTAINMENT
Monday, 26 January 2015
Rihanna safari hii kawashirikisha Kanye West na Paul MacCartney.
Staa wa muziki Robyn Fenty Maarufu “Rihanna” ametoa single mpya
‘FourFiveseconds‘ akiwashirikisha mastaa wenzake Kanye West pamoja na Paul MacCartney.
Tangu atoe nyimbo yake ya Jump Rihanna sasa amerudi upya na kuahidi mashabiki wake mambo mazuri zaidi ikiwa pamoja na kutoa albamu yake mpya mwaka huu
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment