Baada ya staa wa Nigeria, Flavour kutoa video ya wimbo wake ‘Ololufe’ aliyomshirikisha muimbaji wa kike wa Naija Chidinma, video hiyo ilipokelewa kwa mitazamo tofauti huku wengi wakidhani wawili hao ni wapenzi.
Kilichopelekea mashabiki wengi kuamini hivyo ni kutokana na Flavour na Chidinma ku-kiss kwenye video hiyo ya wimbo wa mapenzi, sababu wao wenyewe ndio waliigiza kama wapenzi.
Chidinma amekanusha kwa kusema kilichoonekana kwenye video hiyo ni uigizaji tu lakini yeye na Flavour sio wapenzi.
Msikilize hapa
Home
»
STORY
»
VIDEO
» Chidinma wa Nigeria asema hana uhusiano na Flavour, ni baada ya kuonekana waki-kiss kwenye video
Related Posts
Story:Banana Zorro asema meakani ni mwaka wake
Msanii na Mwanzilishi wa Kundi La B Band Banana Zorro Ametangaza Rasmi Ujio Wa Album Yake Mpya[...]
Dec 09, 2015Rapa Aka atangaza collabo nyingine kubwa yaja so muda mrefu
Baada ya hit kubwa ya ‘All Eyes On Me’ kumpa tuzo ya collabo bora zaidi kwenye tuzo za MAMA, rapa A[...]
Sep 09, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.