0
Star wa ngoma ya UTANIUA aibiwa mistari na prod VALLEY ambae hawali alikuwa producer wa studio ya south side iliyopo jijini mbeya maeneo ya jua kali makunguru, Msanii uyoo anaejulikana kwa jina la STAR BOY ameshangazwa sana na producer uyoo baada ya kusikia wimbo katika redio mbalimbali TZ.

Meneja wa msanii uyoo AGREY amesema kuwa amesikia na yuko anafanyia kazi.


sauti na nyimbo za wasanii hao wawili

Post a Comment

 
Top