0
Ilikuwa ni wiki ya kipekee sana mara baada ya mwanamuziki Judith Wambura,Lady Jaydee.mara baada ya kukubali kujibu maswali ya mashabiki wake katika ukurasa wake wa Istagram.. Jaydee alitaja sifa za mp3nzi ambaye anamuhitaji kwa sasa lazima awe mtu anayejiheshimu,kumtunzia utu wake .,mwenye roho ya upendo na huruma .anayeweza kuniangalia na kunuwezesha kifedha,asipenda michepuko

Post a Comment

 
Top