0

Uhusiano wa 50 cent na Drake ni mkubwa tofauti na uhusiano wa marapper hao na wasanii wengine kutokana na tabia zao za kupenda "Bifu",Mwaka jana mwezi April,Rapper 50 cent alipokua akihojiwa na MTV alisema wasanii ambao angependa kufanya nao kazi ni Drake na Rihanna, Baadae Drake alishow love kwa kumpandisha 50 Cent mara mbili kwenye show zake, ya kwanza ilikua ni "OVO fest" huko nyumbani kwao Toronto na mara nyingine ilikua ni kwenye moja ya show ya Tour yake "Drake Vs Lil wayne"


“But boy, that nigga was on point, wasn’t he? He came through there with his s*** sharp. It was tight.” 50 cent alisema usiku wa jana alipokua akiizungumzia mixtape hiyo mpya ya drake" If you are reading this, It's too late"
, mbali na 50 cent kuisifia Mixtape mpya ya drake Pia rapper Kanye west aliamua kufunguka kuwa Drake ndio hottest rapper in the game siku hiyo hiyo ya jana alipokuwa akifanyiwa mahojiano na Zane Lowe
Mixtape ya "If you are reading this it's too late" Drake aliiachia siku chache zilizopita kama suprise na bado imekua na mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja ya nyimbo zote saba kuingia kwenye chart ya Billboard "R&B/HIPHOP songs" na kuuza kopi 129,000 kwa muda wa week mbili.

Post a Comment

 
Top