Maandalizi ya msimu mpya wa kipindi cha Coke Studio Africa yameanza.
Na habari kutoka vyanzo vya uhakika vimedai kuwa Jose Chameleone ni mmoja wa wasanii wa Uganda wanaoweza kushiriki mwaka huu.
Chameleone ataungana na mastaa wengine wa Afrika kwenye show hiyo ambayo mwaka huu inaingia msimu wa tatu.
Mwaka jana Vanessa Mdee, Diamond, Joh Makini na Shaa waliiwakilisha Tanzania kwenye show hiyo. Kuna tetesi kuwa mwaka huu Ali Kiba atakuwa mmoja wa wasanii kutoka Tanzania watakaoshiriki.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment