0
Baada ya saga la wiki kadhaa mwezi uliopita kuvuma mbaya kwamba ommy Dimpoz anatoka na madame bi dada wema sepetu na wadakuzi kufanya mishe na mbishe ya hapa na pale kudakua kama kweli ile mipicha ilikuwa ikionyesha kuna love kweli? au jamaa anatumika tu na wema kufikisha ujumbe wa choma roho kwa tea diamond na zari!! hapa na pale mara zikaibuka taarifa za ommy dimpozi aitumika tu na pedeshee mmoja mjini anayetumia kivuli chake ili kufunika news zisivuje kuhusu pedeshee huyo na wema.
Hapa ndipo leo masaa matano tu yaliyopita team michepuko imejidhihirisha jamaa mkali wa tupogo atazidi sana kuwepogo kwenye love na watoto wazuri hasa kutoka na katabia chake cha kutokua serious kama dangote "chibu" ambaye aki focus kwenye mapenzi ana focus kweli!! mara baada ya kupost kitu hichi: "Girls! Don't let your PRIDE and Society make you die single... DM(date me) me if u like me"

sasa hapa ndipo wadakuzi wa michepuko walipojiuliza ina maana jamaa bado anafikiria kiki za kitoto za dezaini hizi kwa nini pamoja na taito kubwa alilonalo bado analeta zileeee za miaka ya 80 eti namnukuu "Mabinti usiache jamii au matukio ya kimahusiano uliyonayo yakakuacha ufe ukiwa single tongozwa na mimi kama unataka"

tazama post hiyo:



Pamoja na hicho mabinti wameendelea kuonyesha wanaguswa na ujumbe wa dimpozi na wana ufurahia.

Post a Comment

 
Top