0

Mrembo na mwigizaji wa filamu mwenye mvuto wa aina yake, Shamsa Ford jana mtandaoni ametoa mtazamo wake kuhusu swala la watu kulalamika muda wote kuwa wametendwa kwenye maswala la mahusiano ya kimapenzi.“Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na kumpuuza”.





Morning my people. Huwa sipendi watu wanaolalamika kutwa kwamba wametendwa bila kuangalia nyuma yeye kawaumiza wangapi ambao waliamua tu kumnyamazia na kumpuuza


Post a Comment

 
Top