Naye Alikiba aliposti picha ya pamoja na Christian Bella na kuandika ‘It’s coming.’
Alikiba na Christian Bella waingia studio kuandaa ngoma mpya
Christian Bella na Alikiba wameingia studio kutengeneza ngoma ya pamoja.
Kupitia akaunti yake ya Instagram, jana Christian Bella aliaandika: Leo tunakesha studio na Ali Kiba maana mashabiki waliomba sana tuimbe pamoja kaeni makao wakula sasa.
Naye Alikiba aliposti picha ya pamoja na Christian Bella na kuandika ‘It’s coming.’
Naye Alikiba aliposti picha ya pamoja na Christian Bella na kuandika ‘It’s coming.’
Post a Comment