Mkataba huo wa muda mrefu utashuhudia kampuni hiyo ikisimamia kazi zote za Ben Pol pamoja na kumpeleka afahamike kimataifa.
“The new partnership aims at developing Ben Pol into a sustainable global brand and consolidating his fame in Tanzania and across Africa. We expect to realize this plan through the production of great music, highly professional services and the co-operations with global brands and international music industry players,” yamesema maelezo ya kampuni hiyo.
Kampuni ya Panamusiq ilianzishwa katikati ya mwaka jana na tayari imeshafanya kazi na Vanessa Mdee.
Post a Comment