0
Msanii wa mziki wa hip hop rashid sumuni a.k.a child benz kuachia mkwaju mpya ambao ametengeneza producer lamar inayokwenda kwa jina la yeeah child amesema kwamba ngoma yake mpya amewashikilisha wasanii wanaofanya pouwa katika mziki wa hip hop ambao one incredible na nikki mbishi na amesema mashabiki zake wakae mkao wa kula kwasabu child yule sasa ni mwingine na ngoma ni kali.


Post a Comment

 
Top