Mzee Majuto akifurahia baada ya kuibuka mshindi wa msanii wa filamu anayependwa
Majuto ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili baada ya kumaliza kazi hizo apate muda wa kupumzika wa kutosha.
“Yeah na shoot na edit halafu nahifadhi, zikifika 100 nakaa na kupumzika nakula bata, makampuni kama yakihitaji filamu mimi nawapa, mpaka sasa nipo ya sita, nyingi itakuwa nazi-shoot huku Tanga,” alisema Mzee Majuto.
Post a Comment