0
Kamptein sambwee shitambala advocate akizungumza jambo na baadhi ya wadau, na wasanii wa muziki mkoa wa mbeya katika tafrija iliyo fanyika hivi karibuni katika ukumbi wa gorden city hotel sae jijini mbeya na hii ni baada ya
kuzindua albamu ya msanii berdon mnyama iendayo kwa jina la "Jionee",iliyo sapotiwa na media mbali mbali ikiwemo vituo vya radio zote za jiji la mbeya sambamba na Michuzi Media Group.picha na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) globu ya jamii Mbeya.

Msanii anae fanya vizuri katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya Berdon Mnyama ambae ndie alie zindua albamu yake hivi karibuni iendayo kwa jina la Jionee akizungumza na baadhi ya wadau na wasanii wa muziki wa kizazi kipya katika hafra hiyo iliyofanyika hivi karibuni jijini mbeya.

Kushoto ni mh.Sambwe Shitambala akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa wasanii Berdon Mnyama, na Petronia kwa lengo la kumpongeza Mh.Sambwe Shitambala kwa kazi kubwa anayo ifanya juu ya kudhamini na kuwajari vijana hususani wasanii katika tasnia mbalimbali mkoani mbeya.

baadhi ya wasanii na wadau wa sanaa walio hudhuria katika hafra hiyo iliyo fanyika hivi karibun jijini mbeya.

 





 

Willium ottuck akifanya show ya live deja vu.

 

 Meneja vipindi wa bomba fm chris bee akitoa shukrani.
DJ SPEED ON THE MIX.

 


 

 Director toka mashada inc chris7 in da house.
 


 


 

Perfomance ikiendelea berdon mnya ft petronia wakifanya bonge la show la wimbo wao wa leo leo.
BERDON MNYAMAAAAA AKITUSUAA.

 


 


 

Msanii nolesy akicheza na mic akiperfom ngoma yake ya nikumiliki pamoja na kalindwana.
 


 


 

Zax 4 real akifanya yake kwa mic
 


 

Wakuitwa cathe da hot kutoka 90.7 sweet fm mbeya.
Kamati nzima ya south side music ikiongozwa na bwana Agrey kati na Sigger Skillar kulia ndani ya mjengo.

 

 Warembo wakiwa makini zaidi.
 


 

Hussen melody mkali wa miduara mbeya.
 


 

Wasanii wako makini macho mbele like shwary kushoto na anno melody.
 

Wasanii katika pozi d twaice na clanrence.
 


 

Mh Shambwe shitambala akionyesha cheti alichokabidhiwa
 

Kati kati msanii wa style ya rock willium ottuck hapa sasa fettydesantoz a.k.a mama dee
 

Wadau wakifurahia party hii.
 

Meza kuu hapa zzax 4 real
 

Msanii wa kike wakuitwa Dranuel akipiga show ya wimbo wake wa wewe.
 

Producer kona in da house akiwa ametulia
 

Mwenye kapero ni producer van cigger katika pozi akiwa na dj obama


 

 Wasanii wakipafom kushoto clanrence kati kati d twaice na kulia anaitwa producer tino mafia
Berdon na kipunga chake alicho pewa na mh.shitambala akinyolifya kwa wadau wake.

 

 Chris bee toka bomba fm 104.0 mbeya katika pozi
 

 Kushoto muwakilishi wa studio za green record nolesy,anaefuata petroni na mwenye kofia ni pr16 kutoka 92.7 highlands fm
 

Msanii wa tasnia ya movie akitoa shukran zake

hivi ndivyo ilivyo kuwa.

Post a Comment

 
Top