0
‘Nasema Nawe’ ya Diamond Platnumz Feat. Khadija Kopa haina muda mrefu toka ilipoachiwa, kwa sasa YES inafanya poa kwenye radio stations pamoja na TV. Diamond Platnumz aliweka tangazo Instagram kwamba kuna mashindano ya kucheza ngoma yake mpya #NasemaNawe, watu wanapost video halafu mshindi anachukua mil.3

Nilipokutana na hii ilibidi nicheke kwanza.. star wa vichekesho toka Kenya, Eric Omondi hakutaka kupitwa na mil.3 za Diamond kabisa.. nae kashiriki yani, kapost video akiwa anacheza ngoma hiyo.

“Haha. I swear Eric Omondi you are something else. Haya wadau tunampa asilimia ngapi?”@diamondplatnumz



Post a Comment

 
Top