Davido alishare Instagram picha akiwa jukwaani pembeni ya 50 Cent, wakati rapper huyo akitumbuiza.
Davido ashare jukwaa na 50 Cent kwenye pool party Las Vegas
Weekend iliyopita staa wa Nigeria, Davido alishare jukwaa na rapper 50 Cent aliyekuwa akitumbuiza kwenye pool party baada ya ushindi wa Mayweather, iliyohudhuriwa na mastaa kibao wakubwa wa Marekani.
Miongoni mwa mastaa waliohudhuria ni Nicki Minaj, Yung Buck, Common, 50 Cent, Dj mustard, Jeremih. Na wengine.
Davido alishare Instagram picha akiwa jukwaani pembeni ya 50 Cent, wakati rapper huyo akitumbuiza.
Davido alishare Instagram picha akiwa jukwaani pembeni ya 50 Cent, wakati rapper huyo akitumbuiza.
Post a Comment