Sunday, 3 May 2015

Interview:D nase azungumzia ujio wa video ya mahabuba


Msanii wa mziki wa bongo flave D Nase toka dar mpaka mbeya kufanya promo ya ngoma yake ya mahabuba ambayo imetengenezwa na mr t touch toka studio za free nation dar.D Nase amesema kuwa soon video yake itaanza kushootiwa na director wake wa siku zote kwaiyo tutegemee video nzuri toka kwake.

Sikiliza hapa interview nzima:




No comments:

Post a Comment