Muimbaji wa Uganda, Maurice Kirya anatarajia kujiunga na mshindi wa tuzo za Oscar, Lupita Nyong’o kwenye filamu iitwayo Queen Of Katwe.
Kwa mujibu wa Word Is ya mtandao wa The Star wa Kenya, muimbaji huyo atasafiri kwenda Afrika Kusini ambako atakuwa location na Lupita (ambaye tayari yupo SA) kwaajili ya kushoot vipande kadhaa atakavyoonekana.
Scenes zingine zitafanyika nchini Uganda.
Alipokuwa Uganda, Lupita alipata chakula kwenye mgahawa wa Kirya uliopo Kampala, Sound Cup.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment