Monday, 4 May 2015

news:MADEREVA ICE MBEYA WAWEKA MGOMO BODA BODA KITUO HADI KITUO 5000

Madereva mbeya waweka mgomo wa ice kwenda root zao za kila siku kwa madai kuwa wameongezewa gharama za reseni kutoka kiasi walichokuwa wanalipa mpaka kufikia kiasi cha laki mbili.


kituo cha mabasi kabwe watu wajaa kwa ku kosa usafiri wanafunzi walia na serikali na uongozi wa mbeya

 

Kituo cha mabasi ya mikoani jijini mbeya maharufu kama nane nane kikiwa empty(hakuna) daladala hata moja ikifanya root zake za seheme za jiji







No comments:

Post a Comment