0
 
Kwa wale wapenzi wa zile NON STOP za DJ SPEED sasa ameachia non stop two in one kwa fans wake ikiwa kama zawadi ya sikukuu ya idd mubarakh na kuwaandaa na east afrika non stop ambayao ataachia mwezi wa nane mungu akipenda.


Dj speed amesema kuwa amekuwa akifanya non stop tofauti kulingana na mahitaji ya mashabiki wake.

Baadhi ya picha dj speed akifanya yake kwa umahiri wa hali ya juu.


Dj Speed akikamua bila kutumia irizi


Kushoto ni Dj Dizo kati kati Dj Speed na mwisho mtangazaji Ergon Elly




Dj speed katika pozi la kwenye mashine.


Dowload zawadi ya idd mubarakh non stop two in one hapa chini.


Post a Comment

 
Top