Onesho hilo limepewa jina la One Night One Stage.
Ommy Dimpoz na Shilole wapata shavu pamoja Marekani mwezi September
Huu sio mwaka mbaya kwa Ommy Dimpoz na Shilole, ambao kalenda zao bado zinaonesha watakuwa na show kadhaa za kimataifa kabla 2015 kuisha.
Muimbaji wa ‘Wanjera’ Ommy Dimpoz pamoja na Shilole wanatarajia kufanya onesho la pamoja huko Houston,Texas nchini Marekani September 5, 2015.
Onesho hilo limepewa jina la One Night One Stage.
Onesho hilo limepewa jina la One Night One Stage.
Post a Comment